Bukayo jr
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 2,782
- 1,641
Habarini wana JF
Kuna wakati vijana wanapoingia kwenye mausiano na hasa wote wakiwa wasomi huwa very "optimistic" sana na hudhania mambo mengi mepesi kumbe sio uhalisia
mwanaume na mwanamke wote mmeoana mna kazi ila financial responsibities ziko kwa mume na ikitokea MAMBO yamekwama mamaa akitoa pesa ndo KAKUKOPESHA huyo na utadaiwa, wakati mwingine mama akitoa pesa nyumbani ya matumizi utasikia kauli kama hizi "tumieni vizuri haya mafuta mnajua pesa navyozipata? Lakini wengi wanawake hudai Usawa sasa mbona baba kukwama kauli unatoa kama za KIMAJUNGU MAJUNGU?
Yaani hata siku moja usitegemee sana pesa ya mkeo itakutoa isipokuwa wachache sana