Mwanamke kamili hawezi kuwa na dosari hizo, go on Our contract still exists na ni matumaini yangu Tutakapokuwa wote Valentines day utanipa feedback ya ukweli.
Siwezi kumpotezea muda mwanamke kamili......Afadhali maana nilidhani umenipotezea muda bure. . .
Siwezi kumpotezea muda mwanamke kamili......
mbona Ndoa hizi ndo nyingi? Watu wanakopeshana humo balaa...ikitokea ugomvi kidogo utasikia "kwanza nirudishie pesa yangu ya KARO.. We si ndo umenioa???
Tusijadili hii ishu kwa wepesi sana.
Ndani ya ndoa kuna mgawanyo wa majukumu na kila mwanandoa huwajibika.
Ikitokea mke/mume anataka pesa za kutimiza yale majukumu yake au anataka pesa kwa kitu fulani, kuna namna mbalimbali za kupata uwezesho kutoka kwa mwenziwe.Mimi kwa mfano, nikihitaji pesa kiasi fulani na kumwahidi mwenzangu kuwa nitamrejeshea, basi nachukulia huo ni mkopo na huwa narudisha.Hata na yeye hivyp hivyo.Ila pale ninapomuomba anipe kiasi fulani bila kuahidi kurudisha basi hiyo ni grant haihitaji kurejesha.Na yeye ni hivyo hivyo.Tusichanganye mambo jamani.
Kwenye ndoa ipo mikopo, ruzuku na grants.
Ikiwa maneno ya rejareja yanatokea, basi hiyo ni tabia mbaya tu ya huyo msema hobyo.Mwanaume ujilaumu kuoa mwanamke mwenye maneno ya ovyo.
Nitakwambia siku ya Valentines day kwenye special Banquet.Hhhmm hivi huyu nae anahesabika kama mmoja wao?
Nitakwambia siku ya Valentines day kwenye special Banquet.
Stay tune....I'll be waiting. .
i see kuna wanawake wa hivyo
hiyo nyumba si yake na mumewe? Anamkopesha mumewe kwenye matumizi ya nyumba? Mfano anaponunua sukari, mume akirudi anamdai hela ya sukari? Kama ni hivyo huyo mwanamke hajajitambua au hajajua kama yupo kwenye ndoa.
Unless kama mume umemwambiz mkeo akukopeshe kiasi kadhaa utamrudishia, hiyo akikudai umlipe kwa kweli
No.kuna riba..huwa inalipwa kwa makato madogomadogo kutoka kwenye kodi ya meza.