Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,416
Ni katika kukumbushana..., tusije kuwaachia urithi wa kutulipia kile tunachokitumia leo, Ikiwezekana tutafute mbadala; kama kesho tutaweza kulipa kwa kukamuana kwanini uwezo huo wa kulipa kesho tusiutumie leo kufanya tunachofanya ?
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Kwanini Serikali Ikope Kuendesha Miradi, Wakati inaweza Kutengeneza Pesa ?
Kabla hatujaitana vichaa, kwanza kabisa tukubaliane kwamba ndicho kinachotokea sasa hivi duniani (creating money from thin Air) ingawa ni Benki ndio zinafanya hivyo... Pesa inavyotengezwa na kuongezwa kwenye Mzunguko na Benki Wewe ukienda kuomba mkopo Benki unapewa pesa ambayo Benki haina wala...
Kwanini Serikali isipunguze Matumizi ya Fedha za Kigeni ?
Kama taifa kuhangaika kutafuta Pesa za wengine kwa uhai na mustakabali wa taifa letu ni kuwa tegemezi. Sina shida kabisa na watu binafsi / wafanyabiashara kutafuta hizi pesa kulingana na mahitaji yao na nini wanataka, hao siwapangii ila kuna matumizi yanayohitaji pesa hizi yasio ya lazima na...