MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama kiuchumi kupitwa na Tanzania

MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama kiuchumi kupitwa na Tanzania

Kwa hii wimbo ya kuipita Kenya wajitayarishe kufunza vitukuu wao, vile mababu zao waliwafunza. Kwa sahi GDP ya eac (nchi zote za eac) kiujumla ni $220 billion. Kwa hiyo $220 billion, Kenya iko na karibu 50%, ikiwa na $109 billion GDP (Hiyo ingine igawanywe kati ya nchi zilizobaki), kwa hivyo wajitayarishe koo.

Kufikia mwaka 2029 Kenya itakuwa na uchumi kubwa kushinda nchi zote za eac zikiunganishwa.
Kweli we mpumbavu sasa unajitapa una GDP kubwa ambayo% kubwa ni mikopo ya nje. Kwa mbinu hiyo kila nchi ikitaka kukopa kupita kiwango itakua na GDP kubwa sema tu serikali za nchi nyingi hazipendi kukopo mikopo isiyo na lazima. Pia unapofia Kenya ina 50% ya GDP ya E.A usisahau kua kenya hiyo hiyo ndio inaongoza kwa madeni kuliko nchi zote. Ukweli useme sio unaleta mapambio tu hapa
 
All of us, at one point or another, need some kind of financing to grow from one level to another.

It is wrong to try to insinuate that someone taking a loan is necessarily a bad thing. We should stop stigmatizing loans. Responsible loans are very critical for growth!
 
Back
Top Bottom