Mm niliulizia Bajaji wakaniambia unarejesha 21 Million kwa Two Years mpaka nikataka kucheka.Kwamfano, ukikopa pikipiki TVS ambayo dukani 2.8-3.1 million unatakiwa kulipa kwa muda gani na tsh ngp kila mwezi?
21 milion au 2.1 milion?!Mm niliulizia Bajaji wakaniambia unarejesha 21 Million kwa Two Years mpaka nikataka kucheka.
Sijajua kuhusu Bodaboda, ila naamini wanacheza humohumo kwenye ukandamizaji.
Nenda benki uone chamtema kuni sasaLeo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku...
π€£π€£π€£ ya miezi mingapi mama kija?MIKOPO CHEFU CHEFU inyotuchefua sisi WAJAWAZITO.
Cc: Basi Nenda Poor Brain Mzee wa kupambania Yohimbe bark cocastic The Stress Challengerr
NMB kuna unafuu!Nenda benki uone chamtema kuni sasa
Ni wale wanaojiita people au Wale Wanaojiita DiamondLeo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku.
Mjanja M1 nikajisogeza taratibu kuokota Dodo la mkopo wa Bajaji.
Lahaullah Walakuwata! nilishtuka sana kuambiwa marejesho ni zaidi ya ulichokopa, yani kama umekopa 1 Million wanakutaka urejeshe 2.1 Million.
Nikawaambia Asanteni sana na nikatoka Nduki mithili ya Hussein Bolt wa Jamaica.
WATOA MIKOPO WANAWAKOSEA SANA WATANZANIA.
Kudadeq. Bahaji mpya Mil 10-11 so karibia 100% interest.Mm niliulizia Bajaji wakaniambia unarejesha 21 Million kwa Two Years mpaka nikataka kucheka.
Sijajua kuhusu Bodaboda, ila naamini wanacheza humohumo kwenye ukandamizaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nadhani utakuwa umeandaa kopo la kutapikiaMIKOPO CHEFU CHEFU inyotuchefua sisi WAJAWAZITO.
Cc: Basi Nenda Poor Brain Mzee wa kupambania Yohimbe bark cocastic The Stress Challengerr
Interest wameongeza ni 16.. hiyo system ni outdated ingingia ESS ndio utaelewa.Kudadeq. Bahaji mpya Mil 10-11 so karibia 100% interest.
Kwa wanaosema jaribu Bank ukione xha moto, Ukichukua Mil 11 CRDB kwa miaka miwili unalipa Mil 12 na nusu.
View attachment 3036846
Ulifanya kosa kubwa sana kujizuia kucheka mbele yao, siamini uliwaacha vipi hivi hivi.21 Mil Mzee.
Wakati wananiambia nilitaka kucheka ila nikakausha.