Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Ungetaka kucheka ungechekea tumboni ili kuwaonesha kwamba hesabu unazijua.21 Mil Mzee.
Wakati wananiambia nilitaka kucheka ila nikakausha.
Nilifikaga ofisi fulani wanakopesha pikipiki, aise ni bora ukakope pesa benki ndio ukanunue ulipe benki mdogo mdogo kwa miaka miwili.
Sema tu watu wengi hawakidhi vigezo vya kukopa benki ndio maana makampuni ya kijanja yana-take advantage.