Ungetaka kucheka ungechekea tumboni ili kuwaonesha kwamba hesabu unazijua.21 Mil Mzee.
Wakati wananiambia nilitaka kucheka ila nikakausha.
Salama yako.nikatoka Nduki
Ndiyo Ile kampuni inaitwa 'Watu'?Hao jamaa nawajua ,ila sahv wana wateja wengi sana, wanakopesha mpaka simu
Kuna watu wanakopa?21 Mil Mzee.
Wakati wananiambia nilitaka kucheka ila nikakausha.
Hiyo hiyo, iko mwenge mpakani paleNdiyo Ile kampuni inaitwa 'Watu'?
Marejesho ni kila siku 8500-10000. Kwa miezi 12 Mpk mwaka na nusu inategemea na kampuniKwamfano, ukikopa pikipiki TVS ambayo dukani 2.8-3.1 million unatakiwa kulipa kwa muda gani na tsh ngp kila mwezi?
365 x 10,000 = 3,650,000Marejesho ni kila siku 8500-10000. Kwa miezi 12 Mpk mwaka na nusu inategemea na kampuni
Pikipiki tu hupati hii bei.Bajaji used bei ni kuanzia 1.5m.
Kupanga ni kuchagua!
Hata hiyo kurudisha mil 21 nayo ni msaada... kama huna any direction, ni bora hiyo!Leo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku.
Mjanja M1 nikajisogeza taratibu kuokota Dodo la mkopo wa Bajaji.
Lahaullah Walakuwata! nilishtuka sana kuambiwa marejesho ni zaidi ya ulichokopa, yani kama umekopa 1 Million wanakutaka urejeshe 21 Million.
Nikawaambia Asanteni sana na nikatoka Nduki mithili ya Hussein Bolt wa Jamaica.
WATOA MIKOPO WANAWAKOSEA SANA WATANZANIA.
Hv hy illustrated annual interest rate hua ina maana gn mana?Kudadeq. Bahaji mpya Mil 10-11 so karibia 100% interest.
Kwa wanaosema jaribu Bank ukione xha moto, Ukichukua Mil 11 CRDB kwa miaka miwili unalipa Mil 12 na nusu.
View attachment 3036846
Sasa mimi nilipata bajaji used 1.5.Pikipiki tu hupati hii bei.
Watu wana bills za kulipa sio mambo ya kuoneana huruma. Ukijichanganya hata jela utaenda Kwa kesi ya WIZI WA KUAMINIWAMm niliulizia Bajaji wakaniambia unarejesha 21 Million kwa Two Years mpaka nikataka kucheka.
Sijajua kuhusu Bodaboda, ila naamini wanacheza humohumo kwenye ukandamizaji.
Bank kwenyewe wezi tuHata hiyo kurudisha mil 21 nayo ni msaada... kama huna any direction, ni bora hiyo!
Benki kwenye riba ndogo, hawataki masikini
MIKOPO CHEFU CHEFU inayotuchefua sisi WAJAWAZITO.
Cc: Basi Nenda Poor Brain Mzee wa kupambania Yohimbe bark cocastic The Stress Challengerr[/USER
[/QUOTE]
Mimba ya nani hiyo..
Maana wewe huku ndani unao kama wote an