john_thesmart
Senior Member
- Jan 20, 2022
- 137
- 384
Wanakata processing fee na insurance fee, karibia milion 2Na ukute kati ya hiyo mil35 wakakata na riba yao kabisha cash akapewa pungufu
Ila hii ni kutumia advantage shida za watu, inakuwa kama kukomoanani sawa ajue juu ya time value of money.
anayetaka kutumia pesa ambayo hana lazima damu itoke, either masikioni au kwenye tunduu
haya maisha ni kuchagua upande, uwe mkopaji au mkopeshaji.. ajifunze delay gratification.. la sivyo Bank wana silinda butu itapenya kwenye tundu.
Mtu akiyaelewa haya huwezi kumkuta anakopa hovyo tena kwa hiyo riba ama huo muda.ni sawa ajue juu ya time value of money.
anayetaka kutumia pesa ambayo hana lazima damu itoke, either masikioni au kwenye tunduu
haya maisha ni kuchagua upande, uwe mkopaji au mkopeshaji.. ajifunze delay gratification.. la sivyo Bank wana silinda butu itapenya kwenye tundu.
Ni vizuri kama anaenda kufanyia biashara ili azalishe hela ya ziada kuweza kuinua uchumi wake,wengi na hasa watumishi atakimbilia kununua gari au kujengea nyumba ambayo hata haitaisha,na atakaa miaka yote sita akisubiri marejesho yaishe ili akope tena...Ndugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii imekaa sawa? riba wanasema ni 16.5%
Kwa maana nyingine ni kama anapewa zaidi ya laki 4 kwa mwezi na analipa zaidi ya laki saba kwa mwezi.
54mil - 35Mil = 19Mil interestNdugu yangu ameomba mkopo bank moja hapa nchi, kwakuwa ni mfanyakazi mshahara unapita bank hiyo na ni kwa muda wa miezi 72. Mkopo anaopewa ni mil 35 na atakatwa zaidi ya laki 7 na nusu kwa mwezi, ukipiga hesabu kwa haraka haraka hadi amalize mkopo atakuwa amelipa zaidi ya milion 54. Je, hii imekaa sawa? riba wanasema ni 16.5%
Kwa maana nyingine ni kama anapewa zaidi ya laki 4 kwa mwezi na analipa zaidi ya laki saba kwa mwezi.