Kwanza pole mkuu coz hizi taasisi zetu hapa bongo ni upompompo mtupu.
Pili kwa kua umekua ukishughulikia wenzako na wao je wamekua wakipewa hizo 'njoo kesho' ambazo haziishi kama wewe unazopewa?
Kama na wao wamekua wakizungushwa kama wewe basi hiyo benk ina matatizo makubwa sana. Na nakushaur onana uso kwa uso na huyo mkuu wao wa kitengo hicho cha loan na nakushauri pia kama una chance omba kuonana na hata branch manager uwaelezee uozo huo.
Na kama wenzako wamekua wakipata loans chap chap ila wewe unazungushwa jua kuna kitu wanashindwa kukuambia. Tell them they should b open to u. Mimi sijui mambo haya fresh lkn moja ya kikwazo huenda ikawa ktk mkataba wako imebaki miaka michache say 1 au 2. Sasa kama unataka kopa pesa pana kidogo wanaogopa hawa watu kukupa coz mtu aliebakiza miaka mingi mathalani mi 5 au 4 ktk mkataba wake anakua na advantage zaidi. Hii nayo hebu icheki.
Mwisho kabisa ungetuwekea openly jina la hiyo benki nasi walau tui-mark tu.
Asante