Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Jamani WanaJF nisadieni tokea nianza kazi kama miaka mitatu iliyopita sijawai kuapply mkopo wowote. Nimesadia wafanyakazi wangu wa chini kupata mikopo kutoka kwenye bank moja ambayo ndo uwa wafanyakazi wetu wanachukua mikopo. This time nimeamua kuapply since Jan 28 but mpaka sasa hivi wananizungusha mara head of credit anaapprove mara tutakupa jibu kesho but kesho haifiki. Mara wanaaudit Net yangu ya mshahara cjui wananiona
I need to make a move to see huyu head of Credit mana naona nazungushwa saana, Please wanaJF is this right move? Msaaada
I need to make a move to see huyu head of Credit mana naona nazungushwa saana, Please wanaJF is this right move? Msaaada