benki zinazingua sana siku hizi mpaka watu wanaangukia kwa matapeli, zile benki za vijijini nmb, crdb, posta ukifanya mchezo unakaa miezi 2 unangoja mkopo, byport wiki haiishi ndio maana wanawapataga
Bado hatujapewa barua ya uthibitisho kazin mpaka one year!
C.W.T INAENDESHA KESI DHIDI YA BAYPORT KWA KUWABAMBIKIA RIBA KUBWA TOFAUTI NA MAKUBALIANO, SASA BADO KINA WATU WANAWAZA TENA BAYPORT!!!
YATAKAYO KUKUTA RUDI HAPA UTUJULISHE okonwo jr@
Natumai hamjambo waungwana,mimi ni mwajiriwa serikalini,sijathibitishwa kazini bado,hoja yangu ni kutaka kuchukua mkopo kupitia bayport kiasi cha sh miliion tano na nusu,na nataka kuurejesha ndani ya miaka mitatu,take home yangu ni sh laki tano.je itanigharimu kiasi gani mpaka kuukamilisha kwa muda huo wa miaka mitatu? Naomba msaada na changamoto za hawa jamaa wa bayport,lengo la mkopo ni kununua nyumba.
Tulia kwanza kijana. Na nakushauri USIKIMBILIE KUKUPO kwenye hizo taasisi UTALIA ndugu yangu. Mikopo ya faidika,blue fanancial bayport weka mbali na watoto....USITHUBUTU.
Tulia kwanza kijana. Na nakushauri USIKIMBILIE KUKUPO kwenye hizo taasisi UTALIA ndugu yangu. Mikopo ya faidika,blue fanancial bayport weka mbali na watoto....USITHUBUTU.
Bado hatujapewa barua ya uthibitisho kazin mpaka one year!
Asante mkuu,nilienda bay port riba kwa 5 mls=13mls kwa miaka mitano,sikuchukua,nimeona ni wizi hakikaC.W.T INAENDESHA KESI DHIDI YA BAYPORT KWA KUWABAMBIKIA RIBA KUBWA TOFAUTI NA MAKUBALIANO, SASA BADO KINA WATU WANAWAZA TENA BAYPORT!!!
YATAKAYO KUKUTA RUDI HAPA UTUJULISHE okonwo jr@
Kama wote tungekuwa na akili za kujumlisha kama hizi nazani huenda rais Wa nchi angepita White hairshivi kwa mfano ukakopa hiyo m 5 halafu ukafanikiwa kuwekeza kitu ambacho baada ya hiyo miaka mitatu kitakupa faida ya zaidi ya Hayo m 15 watakayokata,hasara iko wapi?
Ishu ni kuchukua mkopo kwa malengo na siyo kukurupuka