D
Deleted member 485868
Guest
Mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe nyie ndiyo mnapata vitu vizuri hamsemi siyo? Je una mpango wa kutejesha mkuu au imekula kwao?
Hakika watajuta kuja Kwa Watanzania sisiSiku ya kwanza kuona hii kitu...niijisemea moyoni kuwa hawa jamaa hakika watalia sana
@rutunga m wao ndio wajanja sasa kwa taarifa yako... Hakuna wapigaji kama wakenya, kama huko wamefanikiwa jua hapa ndio mteremko kabisa...Unaweza kuwatafuta kupitia link hii hapo==>>Tala mikopo
Mjumbe wa bwana hapaswi kufanya hayausiwakumbushe nimekula laki mbili yao sahivi sipatikani line nimeifungia kabisa na sina mpango wa kuwalipa
ata yesu kuna wakati alitumana punda asie wake ili ampeleke kule Kwa waliomsulubishaMjumbe wa bwana hapaswi kufanya haya
Langu kulikuwa ni hilo tuata yesu kuna wakati alitumana punda asie wake ili ampeleke kule Kwa waliomsulubisha
Hata mimiMimi huwa nakopa na kurejesha
Mteja mwaminifu...[emoji4]
Yaani kadri unavyokuwa mwaminifu ndo kiwango kinapanda.Hata mimi
Ila riba kubwa sanaYaani kadri unavyokuwa mwaminifu ndo kiwango kinapanda.
Kweli.Ila riba kubwa sana
Wana riba kiasi gani maana mie hii mikopo kama ya Timiza ya Airtel na Mpawa ya vodacom naipenda japokuwa Timiza kama imekuwa ngumu kidogo kimakato..embu nipe kwa ufupi hiyo riba niongeze taasisi ya tatu ya kukopaNilipokea malipo ya elfu 20 thats why nikaandika humu