Upo sawa mkuuVocational training kuna siku tutakuja kuiamkia "shikamoo"
Narudia tena Chuo kimoja cha Ufundi Stadi (VETA) kilichokamilika ni bora kuliko shule 100 za sekondari
Najua hamjanielewa
Au nasema uongo ndugu zangu??
Kiongozi wa North Korea aliwahi kuulizwa, mnawezaje kujitegemea na mnavikwazo kila kona. Moja ya jibu lake alisema elimu yao wameiplana kuwa humanity science ni asilimia 30 tu. Asilimia 70 ya wanagunzi chuoni walikuwa wanachukua Natural science. Upo sahihi. Sayansi hata nje ya nchi unaajirika kirahisi. Hata ukienda nchi wanaongea lugha ambayo huijui utaajirika.Kwa utafiti wangu wengi wasio na ajira ni wale waliosomea digrii za bla bla zisizo za vitendo mfano za sheria, Bussiness Administration, Uchummi, Uhasibu, Uandishi wa Habari nk.
Serikali itoe mikopo kwa wanaosomea fani kama Engineering, Kilimo na Ufugaji, za Ujenzi na Uvuvi, Udaktari, Ufamasia nk.
Hizo digrii za blabla serikali imapoteza tu pesa zake kukopesha watu ambao ni vigumu kuajirika au kujiajiri hivyo mikopo kushindikana kulipika.