Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

Mikopo ya hazina, Maafisa Utumishi wanaomba 10% ili waweze kupitisha

Mwezi mmoja boss.....nimekunja mpunga wangu....mpunga Haina riba....unarudisha uliopewa....kifupi mshahara wako unapewa advance ya nusu ya mshahara wako....yaani unalipwa miaka SITA ijao nusu ya mshahara wako
Duh hii safi Sana.
 
Unaombaje hii mikopo kwa wale ambao wapo kwenye taasisi nyingine za umma mbali na halmashauri?
Mzigo special kwa halmashauri....Huwa wanapewa kuanzia 400M, kwa kila halmashauriii.......na zinatoka hazina.
 
watu kimya maafisa wamegawana pesa zote kimya kimya
 
Back
Top Bottom