sunguramjinga
Senior Member
- May 11, 2023
- 175
- 227
Na hivyo wanavishikwambi na hizi pesa za mitandaoniMpwayungu aliwaaambia lakini waalimu. Kuna waalimu bado hawajielewi. Wanawaza kukopa tu
Mi mke wangu mi mwalimu ila nilishamkataza kukopa kwenye taasisi za kijinga jinga. Kwaa sababu kabla hata hajaajiriwa tulikuwa na maisha mengine mazuri tuNa hivyo wanavishikwambi na hizi pesa za mitandaoni
Mbona ndo kwanza nawasikia, ni nani hawa?Pesa X. Ni noma, weka mbali na watoto.
Kausha damu na nyama zakeMbona ndo kwanza nawasikia, ni nani hawa?
Hahaha so wana ofisi uswahilini kama hawa wengine?Kausha damu na nyama zake
Duh umenifurahisha mkuu,eti hata asichokihitaji kwa wakati huo,ili mradi kinakoposhwa [emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la walimu,
Kukopa wamefanya mazoea,
Ata awe na cash mfukoni,atakopa TU.
Pia hata hasichokihitaji kwa wkt huo, Kwasababu tu kinakopeshwa, atabeba tu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuu,Duh umenifurahisha mkuu,eti hata asichokihitaji kwa wakati huo,ili mradi kinakoposhwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ni akina nani hao?Mimi huwa nakopa wale wa kuweka kadi ya benki. Wale Ni afadhari Kama unajitambua.
Nimefanikisha Mambo mengi kupitia hawa jamaa wabarikiwe Sana.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ni kampuni za mikopo.Mkuu ni akina nani hao?
[emoji1][emoji1]Ni kampuni za mikopo.
Dhamana ni kadi yako unayochukulia mshahara.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Duh!Ni kampuni za mikopo.
Dhamana ni kadi yako unayochukulia mshahara.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nimevutiwa na hili. Hawahitaji statement ya uthibitisho kua ndio kadi halisi unayoingiziwa mshahara? Mikopo yao ina range ngapi mpaka ngapi? Vipi riba?Ni kampuni za mikopo.
Dhamana ni kadi yako unayochukulia mshahara.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app