Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

Mikopo ya "Kausha damu" yawakaba koo walimu Mbozi

Nimevutiwa na hili. Hawahitaji statement ya uthibitisho kua ndio kadi halisi unayoingiziwa mshahara? Mikopo yao ina range ngapi mpaka ngapi? Vipi riba?

Mkuu husichoke maswali yangu naomba udadavue kidogo unipe mwanga.
Kama unaanza watahitaji
salary slip
Bank statement
Shahidi na
Kadi yenyewe.
Wanaanza na 50000 mpaka hata 3m.
Inategemea na take home yako.
Muda wa kumaliza deni ni mwez mpaka mwaka.
Kopa kwa malengo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom