Chukua Mkopo bank wa miaka Tatu Kwa dhamana ya mshahara, kila kabla unafanya biashara ya GARI pia jua inachangamoto zake kama ni ya biashara usinunue mkononi mwa MTU huwezi jua inashida gani labda uwe na fund wako unaemwamini.Pia changamoto za usimamizi nazo ujiandae nazo