Ndugu mimi ni mtumishi wa umma pia ni mjasilia mali katika swala zima la usafishaji
Ninaomba kujua kama kuna watu binafsi au kampuni zinazo toa mkopo hasa wa gali aina ya Hiace kwa mashariti nafuu
Niko tayari kurejesha gharama zote pamoja na riba ndani ya miaka mitatu dhamana yangu kubwa ni mshahara wangu pamoja na gali lenyewe naomba tuwasiliane kwa namba 0628944712