Mikopo ya mabenk itauwa watu kwa presha

Mikopo ya mabenk itauwa watu kwa presha

Babuu blessed

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Posts
1,362
Reaction score
490
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"
 
Haiko hivyo mkuu!

Bank kuuza dhamana yako ni stage ya mwisho kabsa, na hawapendi mfikie hapo, ila kwa kuwa wakopaji mnakua hamjui mkopo ni nini ndio inafikia hatua ya bank kuuza dhamana yako.

Pili bank staff wanaohusika na mikopo pia hawajui kuuza product za mikopo walizonazo, banker anatakiwa akujue shida yako yeye ndio akushauri chukua mkopo wa aina hii?

mikopo ya bank as long as your living na unapumua na mzunguko haujakata hainaga presure
 
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"

Umechanganya tenses vibaya mno.........hii habari ni mushkeli
 
Labda swali lako ni kuhusu kiasi gani utapata kama watauza nyumba kwa 102m wakati balance ya deni ni 25m.

Fafanua/jieleze
 
kwa kuwa ni mfano poa, ila bank haizulumu mtu wanachofanya nikuchukua chao 25m nahiyo 77 watakurejeshea baada ya kutoa gharama za madalali.
 
muongo wewe, wangekuwa wamekuchukulia kiwanja chako usinge pata hata nguvu ya ku type!!

unauakika gani mbona unanihukumu wakati auna ushahidi.next ueleme maana ya forum ni sehemu ya kupeana idea na elimu that y jf inazidi kukuwa.matukio yote yanayoletwa hapa sio kwamb yamewakumba wana jf bali yanakuwa yamewatokea jamaa au marafiki na mada zinapokuja hapa zinawasaidia the other.kuna jamaa alichukua mkopo muda wa marejesho akuweza malizia last sunday kiwanja kimeuzwa 102m miaka ya nyuma kuna jirani yake alitaka kumuamisha kwa 200m jamaa akagoma.last sunday huyo jirani ndio kakichukua kwa njia ya mnada.mwenyekiwanja presha ilipanda akakimbizwa hosptali.
 
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"

Hebu elezea hiyo habari yako ieleweke vizuri,hiyo milioni mia umeichukua kwa mkataba wa marejesho ya mda gani?na riba yake kiasi ganie?hiyo milioni mia ni pamoja na riba?changanua vizuri ieleweke.
 
Banker wengi siyo wakatili kiasi hicho. Kama umechukua kwa wajanja mtaani hapo ndy itakula kwako, watafanya kila mbinu wauze dhamana kama ina thamani kuliko deni ili wakulize tu!
 
Wadau, huyu mtu hajachukua mkopo, anaulizia tu. Nyie mnafkiri kama angekuwa kwny situation kama ahiyo angekuja JF kuuliza wakati terms na condition alizisoma na kusign benki:lol:?..obviously suruhisho la ishu kama hiyo anajua cha kufanya ni kuonana na meneja wa benki yake!
 
mimi nimemshangaa sana,sijui nia yake ni nini,au alikua anataka kutuonyesha ana millioni mia,hata tukijua anazo hizo mia atafaidika nini,au kuna mtu humu JF anataka amtege ili iwe rahisi kumwingia akiamini anafedha manake mjini hapa watu wana mbinu kubwa za kitapeli.
 
mkuu umeenda mbali sana!
 
Wadau, huyu mtu hajachukua mkopo, anaulizia tu. Nyie mnafkiri kama angekuwa kwny situation kama ahiyo angekuja JF kuuliza wakati terms na condition alizisoma na kusign benki:lol:?..obviously suruhisho la ishu kama hiyo anajua cha kufanya ni kuonana na meneja wa benki yake!

asante kwa kunielewa wengne awasomi post kwa umakini.
 
kwa kuwa ni mfano poa, ila bank haizulumu mtu wanachofanya nikuchukua chao 25m nahiyo 77 watakurejeshea baada ya kutoa gharama za madalali.

hapa nimekuelewa mkuu asante kwa ufafanuzi wako!naomba mada ifungwd mod
 
Babuu mi navyojua ni kuwa bank huuza mali ya mdaiwa kwa kiwango kile wanachokudai kama deni limebaki laki 7 basi hicho ulichoweka dhamana kitauzwa kwa dhamani hiyohiyo na kama itazidi basi watapiga gharama zao then inayobaki wanakupa ww ishu inakuja pale itakapouzwa chini ya bei kufidia deni lao lazima wakuweke ndani tu
 
Pia kwente mikopo uwe makini sana ukona terms and conditions apply inabidi usome mara mbili mbili maana wengi wetu hapo kwenye terms na conditions hatusomi na kichinjio cha mabenk mengi wanaegemea sehem hizo
 
Babuu mi navyojua ni kuwa bank huuza mali ya mdaiwa kwa kiwango kile wanachokudai kama deni limebaki laki 7 basi hicho ulichoweka dhamana kitauzwa kwa dhamani hiyohiyo na kama itazidi basi watapiga gharama zao then inayobaki wanakupa ww ishu inakuja pale itakapouzwa chini ya bei kufidia deni lao lazima wakuweke ndani tu

kwenye valuation ya dhamana kuna market value ya property na forced sales value (75% of fair market value of a property). hivyo basi dhamana uliyoweka lazima iuzwe kwa mnada at equivalent forced sales value or highest of the forced sales value
 
Back
Top Bottom