Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"