Babuu blessed
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 1,362
- 490
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"

Umechanganya tenses vibaya mno.........hii habari ni mushkeli
muongo wewe, wangekuwa wamekuchukulia kiwanja chako usinge pata hata nguvu ya ku type!!
mkuu kama una cha kuchangia its better ukip silence atupo kwenye jukwaa la kiswahili .
Habari zenu bana.Ninaomba kueleweshwa kuhusu mikopo ya benki na riba zake.mf : nikichukua mkopo wa 100m kwa kutumia hati ya kiwanja wakati wa marejesho nimefanikiwa kurejesha 75m nikapewa notice ya siku 14 kwa bahati mbaya wakati nataka kwenda kumalizia hiyo pesa 25m hkawa ni siku ya ijumaa bank wakaniambia muda umekwisha na jumapili mnada ukafanyika na kiwanja kikauzwa 102m.swali je hapo nitapata kitu chochote kutoka kwa madalali kwa sababu bank walikuwa wananidai 25m only.elimu ya mikopo ya mabank inatakiwa "mali bila daftari upotea bila habari"
Wadau, huyu mtu hajachukua mkopo, anaulizia tu. Nyie mnafkiri kama angekuwa kwny situation kama ahiyo angekuja JF kuuliza wakati terms na condition alizisoma na kusign benki:lol:?..obviously suruhisho la ishu kama hiyo anajua cha kufanya ni kuonana na meneja wa benki yake!
mimi nimemshangaa sana,sijui nia yake ni nini,au alikua anataka kutuonyesha ana millioni mia,hata tukijua anazo hizo mia atafaidika nini,au kuna mtu humu JF anataka amtege ili iwe rahisi kumwingia akiamini anafedha manake mjini hapa watu wana mbinu kubwa za kitapeli.
Wadau, huyu mtu hajachukua mkopo, anaulizia tu. Nyie mnafkiri kama angekuwa kwny situation kama ahiyo angekuja JF kuuliza wakati terms na condition alizisoma na kusign benki:lol:?..obviously suruhisho la ishu kama hiyo anajua cha kufanya ni kuonana na meneja wa benki yake!
kwa kuwa ni mfano poa, ila bank haizulumu mtu wanachofanya nikuchukua chao 25m nahiyo 77 watakurejeshea baada ya kutoa gharama za madalali.
Babuu mi navyojua ni kuwa bank huuza mali ya mdaiwa kwa kiwango kile wanachokudai kama deni limebaki laki 7 basi hicho ulichoweka dhamana kitauzwa kwa dhamani hiyohiyo na kama itazidi basi watapiga gharama zao then inayobaki wanakupa ww ishu inakuja pale itakapouzwa chini ya bei kufidia deni lao lazima wakuweke ndani tu