mimi nimemshangaa sana,sijui nia yake ni nini,au alikua anataka kutuonyesha ana millioni mia,hata tukijua anazo hizo mia atafaidika nini,au kuna mtu humu JF anataka amtege ili iwe rahisi kumwingia akiamini anafedha manake mjini hapa watu wana mbinu kubwa za kitapeli.