Mikopo ya mabenk itauwa watu kwa presha

Mikopo ya mabenk itauwa watu kwa presha

mimi nimemshangaa sana,sijui nia yake ni nini,au alikua anataka kutuonyesha ana millioni mia,hata tukijua anazo hizo mia atafaidika nini,au kuna mtu humu JF anataka amtege ili iwe rahisi kumwingia akiamini anafedha manake mjini hapa watu wana mbinu kubwa za kitapeli.

Unatumia nini kufikiri!! Acha stress..ushatepeliwa usilite past experiance zako kwenye mambo ya msingi...watu tumefutulia kujifunza humu.....wewe unakuja kuharibu hali ya hewa...
 
Back
Top Bottom