Mikopo ya Masharti nafuu Nahitaji pls

Mikopo ya Masharti nafuu Nahitaji pls

Daniel Myl

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
535
Reaction score
270
Habarini za asubuhi
Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina uwezo wa kurudisha hiyo pesa na riba yake ndani ya miezi kuanzia 2. Nafahamu zipo micro-finance nyingi na nitapenda mtu aliyewahi kukopa mahali aweza ku share na mimi
Karibuni
 
Cheki na EFC ni Financial Institution.

Kuna Loan Manager Wao anaitwa KULWA anaweza kukusaidia.

Namba yake ni: 0715992038

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
km ni mjasiriamali na upo dar nenda Advans bank, wapo manzese darajani, na tmk wako fasta zaidi
 
Cheki na EFC ni Financial Institution.

Kuna Loan Manager Wao anaitwa KULWA anaweza kukusaidia.

Namba yake ni: 0715992038

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu nashukuru sana! Hii is very informative!
 
Nataka pia niwasiliane naye huyo, yuko informative unamaanisha nini?
 
mkuu hebu nenda siza pentecoste saccos watakujuza utapata mkkopo wa bei nafuu usio na kuwekeza kitu ni akiba yako tu ndo inahitajika
Habarini za asubuhi
Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina uwezo wa kurudisha hiyo pesa na riba yake ndani ya miezi kuanzia 2. Nafahamu zipo micro-finance nyingi na nitapenda mtu aliyewahi kukopa mahali aweza ku share na mimi
Karibuni
 
km ni mjasiriamali na upo dar nenda Advans bank, wapo manzese darajani, na tmk wako fasta zaidi

ndo raha ya JF, nami nilikuwa na wazo hilo, umenipa wazo ngoja nimcheki mtu mmoja hapo Advans Bank.
 
Samahani ni sinza pentecoste pale karibu na kituo cha kijiweni utaona bango lao

I see in box yako imejaa, jana niliku-pm Mbona sijapaona mahali hapo, nimezunguka mitaaa yote maeneo yale, nimeuliza watu mitaa ile sijapaona
Niellekeze vizuri tafadhari
 
Back
Top Bottom