Daniel Myl
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 535
- 270
Habarini za asubuhi
Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina uwezo wa kurudisha hiyo pesa na riba yake ndani ya miezi kuanzia 2. Nafahamu zipo micro-finance nyingi na nitapenda mtu aliyewahi kukopa mahali aweza ku share na mimi
Karibuni