Daniel Myl
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 535
- 270
km ni mjasiriamali na upo dar nenda Advans bank, wapo manzese darajani, na tmk wako fasta zaidi
Cheki na EFC ni Financial Institution.
Kuna Loan Manager Wao anaitwa KULWA anaweza kukusaidia.
Namba yake ni: 0715992038
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Habarini za asubuhi
Nahitaji mkopo wa mil 1.5-2 wa masharti nafuu kabisa kwa ajili ya biashara, mkopo ambao naweza kuweka rehanii vitu vya ndani kama majokofu, tv, washing machine nk..nk... nina uwezo wa kurudisha hiyo pesa na riba yake ndani ya miezi kuanzia 2. Nafahamu zipo micro-finance nyingi na nitapenda mtu aliyewahi kukopa mahali aweza ku share na mimi
Karibuni
mkuu hebu nenda siza pentecoste saccos watakujuza utapata mkkopo wa bei nafuu usio na kuwekeza kitu ni akiba yako tu ndo inahitajika
thank you so much! Nitakwenda
km ni mjasiriamali na upo dar nenda Advans bank, wapo manzese darajani, na tmk wako fasta zaidi
km ni mjasiriamali na upo dar nenda Advans bank, wapo manzese darajani, na tmk wako fasta zaidi
Samahani ni sinza pentecoste pale karibu na kituo cha kijiweni utaona bango lao