Mikopo ya NSSF kwa wanachama wake ni usaniii mtupu, haiwezekaniiii

Mikopo ya NSSF kwa wanachama wake ni usaniii mtupu, haiwezekaniiii

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
Masharti yaliyowekwa na NSSF ili wanachama wake wapate mikopo ya amana zao ni migumu kuliko mtu anaetaka kukopa benk.

NSSF ni wasaniii
 
Masharti yaliyowekwa na NSSF ili wanachama wake wapate mikopo ya amana zao ni migumu kuliko mtu anaetaka kukopa benk. NSSF ni wasaniii

Andika kama GT basi! Tuwekee hayo masharti basi, ndiyo tuweze kuchangia. Au unafikiri kila mtu anajua unachokiwaza! Watu wengine bwana ................... aah!
 
Andika kama GT basi! Tuwekee hayo masharti basi, ndiyo tuweze kuchangia. Au unafikiri kila mtu anajua unachokiwaza! Watu wengine bwana ................... aah!

Hapo kwenye blue na nyekundu ndio umeharibu kabisaaaaa
 
[h=2]Supplementary Question[/h]
LABOUR, EMPLOYMENT AND YOUTH DEVELOPMENTSecurity22 June 2011

[TD="colspan: 5"]

[TD="width: 10%"]
1565.jpg
[/TD]
[TD="width: 90%"] Muhama, Abia Nyabakari[CCM]

Special Seat
[/TD]
[/TD]

[TH="width: 11%, align: center"] Session No [/TH]
[TH="width: 16%, align: center"] Question Number [/TH]
[TH="width: 41%, align: center"] To the Ministry of [/TH]
[TH="width: 16%, align: center"] Sector [/TH]
[TH="width: 16%, align: center"] Date Asked [/TH]

[TD="align: center"]4[/TD]
[TD="align: center"]103[/TD]

[TD="colspan: 5"]Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri aliyonipatia, lakini bado nina maswali mawili ya nyongeza:-

(i) Kufuatana na hali ngumu ya maisha iliyopo sasa inayowakumbuka wastaafu hao na wengine hufa hata kabla ya wakati wao; je, Serikali ipo tayari kumpa mstaafu huyu posho ya kila mwezi kufuatana na cheo alichokuwa nacho kama aliyeko madarakani sasa kama angestaafu leo?

(ii) Shirika la NSSF limepanga mikakati gani ya kumkopesha mteja wake kwa sababu ana kianzio cha kumdhamini katika shirika hilo? Je, Serikali ipo tayari kufanya hivyo kwa ajili ya maandalizi ya kustaafu kwa mfanyakazi huyu ili aweze kumudu maisha yake binafsi baadaye?
[/TD]

[TH="colspan: 5, align: left"] ANSWERS TO SUPPLEMENTARY QUESTION # 103 SESSION # 4 [/TH]

[TD="colspan: 5"]

[TD="width: 10%"]
1133.jpg
[/TD]
[TD="width: 90%"] Answer From Hon. Mahanga, Dr. Milton Makongoro
LABOUR, EMPLOYMENT AND YOUTH DEVELOPMENT [/TD]
[/TD]

[TD="colspan: 5"]NAIBU WAZIRI WA KAZI NA AJIRA:

Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Kazi na ajira, ninapenda kujibu maswali mawili ya Mheshimiwa Nyabakari kama ifuatavyo:-

Hili la kwanza kwamba, mfanyakazi au mwanachama ambaye yupo kazini, apewe posho huku akiendelea kupata mshahara wake, sidhani kama ina mantiki, kwa sababu yupo kazini anapata mshahara wake. Hii maana yake ni kwamba; ni akiba ya uzeeni, baada ya kustaafu au baada ya kufariki. Kwa hiyo, ninadhani malengo siyo kumpa mshahara au posho sasa hivi wakati bado anapata mshahara wake akiwa kazini ni baada ya kustaafu. Kwa hiyo, ninadhani hili lingeendelea.

Swali lake la pili, ninadhani lina mantiki kwamba, hawa wanachama wangepewa mikopo wakiwa bado kazini ili kuwaendelea. Hili ninajibu kwamba, Shirika letu la NSSF nimeliona na ndiyo maana limeshaanza kuangalia uwezekano kwa kupitia SACCOS za Wanachama kwenye maeneo yao ya kazi, kuwakopesha kupitia SACCOS na hili limeanza kufanyiwa kazi. Lingine ni kwamba, Shirika linaangalia utaratibu wa kuwakopesha wanachama wake waweze kujenga nyumba kwa kupitia katika mamlaka, baada ya mamlaka ya NSSF kuweka utaratibu kwamba, tunaweza tukawakopesha Wanachama mikopo ya kujenga nyumba, lakini hii inahitaji utaratibu ambao unatakiwa udhaminiwe au uidhinishwe na mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa hifadhi za jamii. Pindi hili likifanyika, NSSF itaangalia uwezekano wa kuwakopesha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba, yaani michango yao ile iwe ni dhamana ya kuweza kukopeshwa katika mabenki mbalimbali.[/TD]
 
Masharti yaliyowekwa na NSSF ili wanachama wake wapate mikopo ya amana zao ni migumu kuliko mtu anaetaka kukopa benk.

NSSF ni wasaniii

Ni pension funds zote tu! Unakopa nini wakati una hela wamekuwekea, Wajenge nyumba wawape wanachama wao then wawakate kwenye hela zao! Mikopo ni dili tu la kuwaumiza walala hoi, Hawana maana hao
 
Potelea mbali, kama wanachama wa NSSF hawanielewi ni faida ya CCM. Inamaan wanachama wa NSSF wamelala basi, hawafuatilii mafao yao na haki zao. Kwani mie TUCTA???
 
Je kuna uwezekano wa kuhama NSSF na kuhamia PSPF?
 
OOH Tanzania, we are in the DARKNESS, true Baba Desi
 
Je kuna uwezekano wa kuhama NSSF na kuhamia PSPF?

mkuu hilo linawezekana hata kwenye hii kampuni ilitokea hivyo baada ya sis wafanyakaz kuona nssf wana2zingu ila cjajua kampun ilifata taratibu zipi
 
Mfumuko wa bei hauendani na Ongezeko la Mshahara.

Pia PAYE ni wizi mtupu
 
Kati ya mifuko yoooote ya Hifadhi ya Jamii, NSSF ni kichefuchefu cha karne. Mafao yangu yanafika 13m lkn hawana utaratibu wa kuniwezsha kunidhamini nikakopeshwa benki hata 10m. Mimi sioni faida ya hawa watu zaidi ya kutuchukulia fedha zetu kujengea majengo ambayo hatupati faida nayo kama wanachama.
 
Back
Top Bottom