Mikopo ya nyumba

Mikopo ya nyumba

Mbahili

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
281
Reaction score
525
Wanajamvi vipi?

Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi.

Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake.

Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
 
Mikoani wapo? Nataka wanijengee lodge alafu wakusanye kwa makubaliano
Hao apo
Screenshot_20230309-201644.jpg
Screenshot_20230309-201714.jpg
 
Back
Top Bottom