Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Vitisho wanavyotumia kudai 5000, nadhani wakikupa 1 million, kuna mtu watamuasign aambatane na wewe Kila unapoenda, mpaka deni liishe.Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Hiyo ni mikopo ya vocha na bundle! Haikufikishi popote! Fanyakazi upate hela zaidi!Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
gas siyo kitu cha maanaNaomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Yeah. Maana hata ukijamba ni gas sio?gas siyo kitu cha maana
kujamba siyo jambo la maanaYeah. Maana hata ukijamba ni gas sio?
kazi tunafanya ila kipato hakitoshelezi. ni kama mahitaji yanazidi kipato.Hiyo ni mikopo ya vocha na bundle! Haikufikishi popote! Fanyakazi upate hela zaidi!
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia
Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!
Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
kopa lipa. Utajiongezea kiwango zaidi
Vodacom songesha sio nzuri kwa afya trust me mkuu
Vya mana ambavyo umefanya mpaka sasa ni hivi;
1. Umenunua gesi
2. Umesovu ugomvi na mke
Vya maana unavyoweza fanya baadaye;
1. Kulipa mkopo ndani ya muda unaotakiwa kulipa, ili kiwango kiongezeke
2. Kiwango kikiongezeka na kikawa kikubwa zaidi unaweza fanya makubwa zaidi
Mkopo usikie tu,ni mtamu kuula ila kurejesha walah utasota,na hao songesha Ndio wanariba kinoma 40% na ukichelewesha deni linapanda.Watz kibao wamevunja laini.
Tumia branch
USA wanadaiwa mikopo ya nje kaisi cha USD 32.9 trillion.
Wewe ni nani ushindwe kukopa laki.
Hiyo ni mikopo ya vocha na bundle! Haikufikishi popote! Fanyakazi upate hela zaidi!