Mikopo ya simu Songesha,Timiza, je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!?

Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Umenichekesha kwa kauli hii "nikasolve ugomvi na wife".Inamaanisha mkeo mkali kiasi kwamba ukikosa hela ya gesi hapakaliki? Kama ni hivyo balaa[emoji23]
 
Mkopo usikie tu,ni mtamu kuula ila kurejesha walah utasota,na hao songesha Ndio wanariba kinoma 40% na ukichelewesha deni linapanda.Watz kibao wamevunja laini.
Upumbavu wa Songesha upo hapo kwenye riba...mimi kila siku wananishawishi kiwango kimefika 233k, ila sitaki hata kuwasikia!
 
Umenichekesha kwa kauli hii "nikasolve ugomvi na wife".Inamaanisha mkeo mkali kiasi kwamba ukikosa hela ya gesi hapakaliki? Kama ni hivyo balaa[emoji23]
Kuna mdogo anasemaga "ndoa hizi" [emoji3][emoji3]
Akisema hivyo huwa namuelewa anayopitia!
 
Nafikir hiv vitu ni mahsusi kutumika kama dharura. Sio routine. Ukiitumia makusudi hayo huwez ona shida ila kama ndio daily hata riba utaijua ni kubwa kwa kiwango gan, otherwise hutajua ..
 
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Kuna moja airtel kwa jina la kamilisha inaniambia unaweza kukopa hadi sh 34,000
Nimejaribu kufanya muamala ikapungua sh 10,000 nikafikiri watakamilisha ila wakawa kimya mfano wa jiwe.
Hata sijui wanapatikana wapi uulizie juu ya huo mkopo maana hawana customer care.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi

Mkopo wowote ni utumwa, kwepa sana.
 
Naomba kuelezwa kuhusu hii mikopo ya simu je unaweza kufanya kitu cha maana kwenye hii mikopo ya simu!!!
Naona kama riba ni kubwa kidogo ingawa kuna muda inasaidia

Mfano mi jana gesi imeisha nikakopa kwenye simu[emoji23][emoji23]Nikasolve ugomvi na mke wangu!!

Sasa nauliza kama kuna kitu cha maana unaweza ufanyia mfano kupata hapa milion 1
hivi
Hii ndoa ni hatari, gas ikiisha mnagombana na mkeo?!!
 
Vitisho wanavyotumia kudai 5000, nadhani wakikupa 1 million, kuna mtu watamuasign aambatane na wewe Kila unapoenda, mpaka deni liishe.
Aise unaweza jifunika na tope la hanang Ili wasikupate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
mwanamke anakusoma kwanza ukoje ndio analeta vimbwanga vyake, otherwise una mapungufu mazito sana fredi, badilika!

Mapungufu tena[emoji23][emoji23][emoji23]amefanyaje au hapigi show
 
Back
Top Bottom