Mikopo ya ujenzi, kununua na kukarabati nyumba sasa inapatikana crrd mpaka 500mil.

Are you really sure that the Country's inflation rate is below 7%??????????!!!!!!!!!!!!!!! Au unaota unadhani zama hizi bado ni zile za Utawala wa Mhe. Mkapa?
 
Likewise nyumba ya 20m ya leo in 20 years haitakuwa na thamani ya 20m

Have you considered both financial as well as psychic benefits of occupying a house for a period of 20 years? How much are they if you are to quantify?!
 
Have you considered both financial as well as psychic benefits of occupying a house for a period of 20 years? How much are they if you are to quantify?!

I don't know.........you tell me......what I know is my late father bought a house for TZS 32,000 in 1976 (with THB loan) and I have lived in that house until somebody bought it in 2006(and I never became a psychopath living in it) for TZS 468,000,000.....HOW ABOUT THAT?
 
Kuna kampuni inaitwa WAT nasikia wanajishughulisha kujenga nyumba, yaani wanakujengea then unawalipa taratibu. Ila sifahamu vizuri utaratibu upoje. Kama kuna member anafahamu vizuri atuhabarishe maana kwa kweli kupanga kunachosha ni basi tu.
 
hiyo ni mikopo ya viongozi mtu wa chini hata ufanye kazi mika 20 uchanganye na kiinua mgongo huwezi kulipa hilo deni,serikali hii haiko kuwasaidia watu wa hali ya chini,cha maana ni kuipiga chini tu, ifikapo2015
 
Are you really sure that the Country's inflation rate is below 7%??????????!!!!!!!!!!!!!!! Au unaota unadhani zama hizi bado ni zile za Utawala wa Mhe. Mkapa?
Mkuu msiwe mnazamia katika blog za udaku tu, hebu jiridhishe kwa kupitia NBS-National Bureu of Statisics na utaambiwa rate of inflation kwa sasa hivi ni around 6.3% na habari hii ilikuwa magazetini wiki iliyopita.

Muwe mna soma na mambo ya maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…