Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

Mikopo ya wavuvi Bil. 20 tulizoambiwa na Bwana Waziri zimepotelea wapi?

Jimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
4,444
Reaction score
4,967
Wakuu, kwa muda mrefu kulijitokeza GENGE hapa likijinasibu na kusifu kwamba Rais Samia ametoa bilioni 20 kwaajili ya kuwakopesha vikundi vya Wavuvi.

Baada ya kuwafuatilia vijana wetu ambao wanajishughulisha na kazi za uvuvi katika maeneo mbali mbali, tumebaini HAKUNA KIKUNDI CHOCHOTE kilichopokea pesa hiyo hadi sasa. Na hata vijana wenyewe hawajui kama kuna uwepo wa mikopo hiyo, hawajaelezwa popote.

Waziri mwenye dhamana alitumika tu kwenye hizi blah blah za hawa WEZI wa pesa zetu kupitia TOZO HARAMU? Ama ulikuwa ni mpango wa Serikali kuzimisha mijadala ya kupinga tozo?

 
Jambo la kusikitisha zaidi, pesa zetu za kodi zinaitwa pesa za Samia. CCM inaviongozi wa hovyo sana.
 
Ukileta Mada tuache tuchangie,

Nauliza : "Wewe umewasiliana na vikundi vingapi? "
Ndugu mimi ni Mtafiti wa eneo hilo, wewe ni kati ya wanufaika wa mradi huo wa kitapeli?
 
Back
Top Bottom