Mikopo ya wekeza saccos ltd

Mikopo ya wekeza saccos ltd

joboo2

Member
Joined
Mar 17, 2013
Posts
79
Reaction score
48
Kuna hawa wanaitwa Wekeza Saccos wanasema wanatoa mikopo online wako Dar.

Anayewafahamu plz naomba information zao. Je ni wakweli au ndo wapigaji?
 
WAPIGAJI HAO NDUGU, UTALIZWA SASA HIVI
 
Mkopo online wanatoa Tigo tu napo wanaanza na buku tano Daraja linapanda kidogo kidogo
 
utaliwa sana mkuu hao ni matapeli kupindukia bora uende saccos za kawaida sio za online utalia mpaka utosi
 
Jaman mnaowafaham hawa watu fukunkeni
 
Back
Top Bottom