Mikopo yaachiliwaaaaaa

Mikopo yaachiliwaaaaaa

Sema demu kama mleta uzi wanakuwaga wagumu sana kukuvulia chupi

Atakuchekea we utaona mtoto kashalainika ,kaelekea qibra

Omba gemu sasa uone anakukatalia kama hakatai vile

Atakupa maneno matamu,mzee mzima mpaka una devera devera halafu yeye huyo anasanuka kimya kimya
 
[emoji23] ulikuwepo nini???...
Nshawahi kutukanwa sana kuhusu hiyo tabia,nusu nidundwe dah....
 
Naelewa sana michezo yenu

Sanasana wale wa night clubs wale ndio hawafai kabisa

Ukimnunulia bia kila jina zuri utapewa ,atajibebisha kwako ikiwemo kukushika kifua na ndevu,mwingine atakutambulisha mpaka kwa rafiki zake utaona daah nishaopoa toto tayali

Ishu inakuja pale akigundua pesa imekuishia au muda wa kutoka umekaribia

Hatajifanya kama anaenda toi vile kumbe ndio anakukimbia kijanja

Siku nyingine ukikutana naye atajifanya hakujui kabisa

Ila mafia kama mimi michezo hiyo huwezi kuniletea hata siku moja ukila pesa yangu jiandae..........
 
Haha
 
Back
Top Bottom