*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!
TAARIFA KWA UMMA.
Kwa wote waliokosa mikopo....Mikopo yenu Imeshatoka na imemwaga kama inavyoonekana hapo chini
Kwa hakika ni kucheza na akili za watoto wa watanzania masikini.
Binafsi sijaridhishwa na idadi ya waliopata mikopo ukizingatia uhitaji.
Muda ujao watakuja huku wanapiga magoti na kutambaa huku wakinyenyekea eti wanahitaji kupigiwa kura.
Nachukia hasa Viongozi wanafiki kama hawa wa CCM. taarifa za uongo ni wao.
Mtu akisema ukweli anakuwa mchonganishi. Inauma mpaka nahisi kichefuchefu Kila nikiangalia unafiki unaofanyika kwenye utawala huu.