Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] oyeeeeeeeeee*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!
TAARIFA KWA UMMA.
Kwa wote waliokosa mikopo....Mikopo yenu Imeshatoka na imemwaga kama inavyoonekana hapo chini![]()
CCM OYEEE
HahahahaHaya matumizi ya UGALI kila siku yana madhara sana jamani!
*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!
TAARIFA KWA UMMA.
Kwa wote waliokosa mikopo....Mikopo yenu Imeshatoka na imemwaga kama inavyoonekana hapo chini![]()
Kwa hakika ni kucheza na akili za watoto wa watanzania masikini.
Binafsi sijaridhishwa na idadi ya waliopata mikopo ukizingatia uhitaji.
Muda ujao watakuja huku wanapiga magoti na kutambaa huku wakinyenyekea eti wanahitaji kupigiwa kura.
Nachukia hasa Viongozi wanafiki kama hawa wa CCM. taarifa za uongo ni wao.
Mtu akisema ukweli anakuwa mchonganishi. Inauma mpaka nahisi kichefuchefu Kila nikiangalia unafiki unaofanyika kwenye utawala huu.
Kwahiyo bora matumizi ya chips yai mkuu eti [emoji30] [emoji30]Haya matumizi ya UGALI kila siku yana madhara sana jamani!