*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!

*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!

Aisee nilivyoona hii thread nikafungua fasta nijue kunani?

Nilivyoona picha ya mikopo hapo chini,
Nimeishia kucheka tu nakuanza kuchapisha hapa
 
*MIKOPO* YAMWAGWA KWA FUJO NCHI NZIMA!!!

TAARIFA KWA UMMA.
Kwa wote waliokosa mikopo....Mikopo yenu Imeshatoka na imemwaga kama inavyoonekana hapo chini
8075937c3794ea188327d0c90f1e68d4.jpg

CCM OYEEE
Tehe! Umenikumbusha mkalimani feki.
 
Watu wamefika mahali hata uwezo Wa kufikiri umeisha hivi mikopo ni hii au machupa kopo ni LA bati hizi ni chupa za plastic
 
Back
Top Bottom