Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Miak 25 mapenzi yanakutesa na kusumbua hivi? Huna kazi za kufanya?Kiaje bro niambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miak 25 mapenzi yanakutesa na kusumbua hivi? Huna kazi za kufanya?Kiaje bro niambie
Your thoughts becomes thingsSawa ila mbona matatizo ndio yaniandame tangu niachane nae? Miaka yetu miwili matatizo kama haya sijawahi kuyapata
Kukataliwa na mademu maana yake huna pesa hakuna mikosi hapo.Majanga mengi yananitokea kuanzia kupoteza laptop, kutapeliwa hela, kugombana na marafiki, gari kuzingua, n. K
Kukataliwa na madem wapya
kiongozi mbona fujo? kaa kwa kutulia dawa iingieHabarini, ipo hivi kuna demu nimeachana nae kama miezi miwili sasa, nimekua nilipatwa na Balaa na matatizo kila kukicha mpaka najiuliza ameniroga au nini?
Niliachana nae sababu kuu ilikua akinilalamikia mambo kadhaa kama kutokujibu message nilikua namfokea saa zingine namwambia maneno ya chuki kama vile kumwita "malaya" baadae akaja kunikaushia kusemesha akasema simpendi ni bora kila mmoja aende na mambo yake.
Nilimpenda ila sikua na njia nyingine ukizingatia nilikua na kidem kiingine cha kutulia nacho nikamuitikia tukaachna.
Nipeni ushauri nifanyaje? Au nirudiane nae?
25 una umri mdogo ni umri wa kujipanga na sio kupanga idadi ya mademu.Kiaje bro niambie
Ni kwa sababu sasa hivi umepoteza control ya mambo yako kwa stress za mapenzi kiongozi.Bro mbona sikuyapata miaka yote miwili nikiwa nae
Kwahiyo dhana ya kusema mikosi ina exist uwa ni uongo?Ni kwa sababu sasa hivi umepoteza control ya mambo yako kwa stress za mapenzi kiongozi.
Wala sio mikosi ni umepoteza focus tu Mkuu
Huyo alikua demu wangu official ila nikawa na kamchepuko,, Sina mademu zaidi ya hao25 una umri mdogo ni umri wa kujipanga na sio kupanga idadi ya mademu.
Utafikisha miaka 45 umechoka sana kama leo tu mademu wameanza kukuletea mikosi kama unavyodai
Dini yoyote mimi naenda ila hamna kinachobadilika tangu tuachaneNenda Kawe kesho kuna mkesha wa Mwamposa ukakanyage mafuta.
Unataka nipige nyeto? Huyo alikua demu wangu official ila nilikua na kamchepuko hakajui sasa hivi kamebaki kenyeweMiak 25 mapenzi yanakutesa na kusumbua hivi? Huna kazi za kufanya?
Unashauri nisirudiane nae?Your thoughts becomes things
Anza kufikiri Kwa uchanya kwanza
Unabishana na washauri?Unataka nipige nyeto? Huyo alikua demu wangu official ila nilikua na kamchepuko hakajui sasa hivi kamebaki kenyewe
Mkuu hebu fungua Uzi ujazie nyama tuzifunze zaidiUlichopata au unachopata huitwa 'negative wave'
Hii negative wave haitokani na kuachana na mtu Ila inatokana na attention au muitukio wa yale yanayokupata , ukosefu wa kufanya detachment huweza kupelekea kutiririka Kwa '
negative emotions wave '
So ushauri mdogo huu hapa 👎🏽
Just Practice more gratitude and detachment.
Energy au nishati huwa ina-flow sehemu yenye attention either iwe positive or negative
Umewahi kuambiwa fumba macho tuombe ?
Nitarudi hapa .
Bro nyeto sitaki kufanyaUnabishana na washauri?
Jamaa ana madini sanaMkuu hebu fungua Uzi ujazie nyama tuzifunze zaidi
Nifanyaje sasa mbona balaa kila sikuNi hofu tu