Mikufu ya dhahabu wanayovaa wasanii Tanzania

americana

Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
84
Reaction score
37
Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa hivi ila naomba tu kujua.

Je, ni dhahabu kweli? Kama si kweli kwanini wanajiweka level wasizoweza kwa kuigiza wasichonacho? Hata huyu anaejiita Dangote na yeye anapiga mafekifeki japo anamix na original.

Mawazo tafadhali
 
​Bila shaka wewe ni sonara,Diamond kakusikia atakupa kazi ya kumtengenezea original.
 
ni kweli mkuu wanavaa bandia wachina wamewaharibu sana
 
Of all staff now mipasho stupid kabisa
 
Diamond anavaa gold za ukweli kuna siku alikua anahojiwa na tv station ya Kenya citizen akasema gold zake zimemcost kama M24 cheni bracelet na pete. Hyo ilikua mwaka juzi
Ila wasanii wengi wabongo wanavaa gold fake
 
naomba tu kujua.Je, ni dhahabu kweli? Kama si kweli kwanini wanajiweka level wasizoweza kwa kuigiza wasichonacho? Hata huyu anaejiita Dangote na yeye anapiga mafekifeki japo anamix na original.
Sijaona unachotaka kujua manaumeshafunguka kwamba wanavaa fekifeki,xo itifaki izingatiwe wakati unapost hoja Zako..?!
 
​Bila shaka wewe ni sonara,Diamond kakusikia atakupa kazi ya kumtengenezea original.
Msaidie kupata konekshen kwa mondo,labda ndo msaada anaohitaji kwa wanajamii japo alishindwa kujieleza kwa lugha ya moja kwa moja..kweli anahitaj msaada..?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…