Nimekuwa kwenye wasiwasi na hii mikufu ya dhahabu wanayovaa Macelebrity wetu hapa Bongo, wachanga na wakubwa. Tena kwa size mbali mbali mpaka nyingine zinaelemea shingoni, ndiyo ni fashion ya sasa hivi ila naomba tu kujua.
Je, ni dhahabu kweli? Kama si kweli kwanini wanajiweka level wasizoweza kwa kuigiza wasichonacho? Hata huyu anaejiita Dangote na yeye anapiga mafekifeki japo anamix na original.
Mawazo tafadhali
Je, ni dhahabu kweli? Kama si kweli kwanini wanajiweka level wasizoweza kwa kuigiza wasichonacho? Hata huyu anaejiita Dangote na yeye anapiga mafekifeki japo anamix na original.
Mawazo tafadhali