Funa the Wild
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 167
- 282
- Thread starter
- #101
Karibu sanaH
Hizi ndizo Akili za ujasiriamali,Safi kabisa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaH
Hizi ndizo Akili za ujasiriamali,Safi kabisa!
Amazing🙏👍Tunafanya camping kwa tents (Campsite), View attachment 2825572View attachment 2825574
Mbona hata webiste yenu haifunguki, mashaka hayaView attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Karibu sana🤝Amazing🙏👍
Bado ipo kwenye mchakato muda si mrefu itakamilika nikutoe hofu kwa ilo. Karibu sana, Unaweza tutembelea Instagram @Wildlifeafrica_safarisMbona hata webiste yenu haifunguki, mashaka haya
Karibuni sanaTulikua tumeplan trip ya Mikumi na rafiki zangu na ilikua 250k/person. Kwa hii bei yako inabidi nije WhatsApp aisee
Funguka hapa hapa kama ulivyotaja gharama ya singleAsubuhi ni Supu, mchana ni buffet na jioni ni nyama choma.
Kwa couples unapata punguzo la bei
Whatsapp, +255622174613
Nendeni BurigiMikoani napo mpafikirie siku 1
Malaika wa kifo nakuomba usiende kufanya yako kwenye hii safari, chondechonde watu wasafiri salama, nakuomba pliiiizFunguka hapa hapa kama ulivyotaja gharama ya single
Nipo na mke wangu na ni lazima niende nae
Couples ni 295,000/=Funguka hapa hapa kama ulivyotaja gharama ya single
Nipo na mke wangu na ni lazima niende nae
Kuna raia naona kabisa mnaenda kutenda dhambi hivyo nataka kuwadhibitiMalaika wa kifo nakuomba usiende kufanya yako kwenye hii safari, chondechonde watu wasafiri salama, nakuomba pliiiiz
Couples ni 295,000/=