Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Jeshi la Polisi limeshindwa kutoa maelezo ya kwanini linazuia mikutano ya ndani ya chama cha NCCR Mageuzi kwa sababu za kiusalama na Kuepusha maambukizi ya Covid-19 kwenye mkoa wa Dar es Salaam lakini limeruhusu mkutano wa CCM kwenye aneo lilelile.