Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

Corona ipo kwa upinzani maana walikuwa wanaililia toka enzi za Mwendazake walitaka lockdown.

CCM hawakuwahi ikimbia Corona.
Kwahivyo mnatendewa sawasawa na imani yenu ilivyo,usilalamike.
 
Corona huwa hazishiki kwenye nguo za kijani na mikesha ya mwenge.
 
wananchi juzi tulifanya sherehe yetu kwa mkapa na hakuna aliyekuwa na akili za kuhofia dili za watu eti sijuhi kuna korona wala dada yake koroma. Korona mwambieni huyo bibi na hakuna kuchanjwa wala mjomba wake chanjo.
 
Mkuu ukiyafikiria sana ya nchi hii unaweza pata vidonda vya tumbo maana kuna vitu hata mtoto wa darasa la pili ukimuuliza atakujibu si sawa ila sasa ndo watu wazima wanavifanya.
 
Hahahaha Naona unajaribu kutengeneza credibility kwamba wwe ni upinzani ili kesho ukikosoa uonekane ni mpinzani uliye objective/rational.
Kama kuna ambao hawamjui huyu ni mataga parody la Lumumba watakuwa vilaza sana.
 
Polisi-CCM hapa watatoa ulinzi na hata maji ya kunywa watawabebea
 
Ndio maana watu wana chuki dhidi ya watu fulani wenye mamlaka.

Ukaburu si rangi bali ni matendo.
 
Yaani Ni suala la muda tu... Mungu haya matendo yanamchukiza Sana. Kuna siku Mungu ataigeuza CCM miguu juu kichwa chini sababu baadhi ya matendo yake yanamchukza hata yeye.
Ma-CCM hata aibu hayana.
 
Kuna mambo tunacheza nayo, lakini ninaposoma literature mbalimbali mambo tunayocheza nayo sehemu zingine yamesababisha matatizo makubwa na hatuonekani kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…