Mikutano ya CCM ruksa pamoja kuna Uviko-19. Wapinzani wanazuiwa

Hata NCCR kukutana ni haramu isipokuwa hawa wa chama cha kijani!
 
Polisi wetu wanadharauliwa na viongozi wa CCM.... Polisi waache siasa kwenye utendaji wao,watapata heshima na kuungwa mkono na sisi raia
 
Polisi wetu wanadharauliwa na viongozi wa CCM.... Polisi waache siasa kwenye utendaji wao,watapata heshima na kuungwa mkono na sisi raia
Labda wewe ndiyo utawaunga mkono
 
Siro anaweza akasababisha public upheaval kwasababu kizazi hiki hakitaki Injustice.
 
Kisheria hii haiwezi kufunguliwa kesi na kuhitaji tafsiri kamili ya kuzuia mikutano ya ndani kwa ajili ya maambukizi ya Uviko-19?
 
"Ugaidishaji" wa upinzani wa kisiasa uliopo kikatiba ulianza 2016 baada ya serikali ya JPM kuingua madarakani na unaendelea hata baada ya JPM kufariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…