Mikutano ya CHADEMA inavutia watu kwa hoja sio matusi!

Mikutano ya CHADEMA inavutia watu kwa hoja sio matusi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Nilikuwa namaikiliza mzee Msuya kwenye mahojiano. Amekubali kuwa Chadema wanaweza kujenga hoja kwa sasa kuliko CCM. Huu mtindo wa kugeuza udini na matusi ni mbinu za CCM ambazo hazina ushahidi wowote.

1. Bandari mkataba haujapata majibu ya maana
2. Kuhusu Ardhi za ngorongoro wamenyamaza
3. Bei ya vitu na kukosekana kwa dolllar hakuna majibu ya msingi kutoka kwa Mwigulu
4. Katiba mpya hii hoja ya kuwapeleka Watanzania chuo cha katiba kwa miaka mitatu ndiyo tuanze mchakato wa katiba ili Mama akae madarakani haina mshiko

Nashauri chama cha CCM kijibu hoja na kiache vihoja. Hii nchi inahitaji mabadiliko makubwa na katiba ili tuweze kupambana.
 
Back
Top Bottom