Mikwara yote ya Manara sijamuona kwenye udhamini wa Sportpesa, usifanye mchezo na mamlaka

Mikwara yote ya Manara sijamuona kwenye udhamini wa Sportpesa, usifanye mchezo na mamlaka

Nimeliona huku tanga lipo limekuja kumzika kujata shehe wake sema shehe mwenyewe ana skendo chafu Sana ya urawiti naona anajuana vizuri na manara
kuna mtu juzi kanipa story za huyo shehe,ni bilaa.
 
Mikwara tu yule kwanza hata kuona aoni vizuri lakini anamdomo mchafu sana wa kudhalilisha wenzie na kuita wenzie kilo 800,wengine anasema wakiongea wanabana pua,ila yeye ndo anajiona kaumbwa vizuri,Mungu fundi nyie.

Na pua yake ilokaa kama nyama ya utumbo wa bata
 
Kumbe muda wote unamuwaza manara tu,
Kuna kitu inafanyika, we jiulize kwa Nini TFF hawampi barua manara?
 
Back
Top Bottom