Mil.15 inatosha kujenga nyumba ya vyumba 4 Dodoma?

Mil.15 inatosha kujenga nyumba ya vyumba 4 Dodoma?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Wandugu,

Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali.

Asante.
 
Wandugu, nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.
Mmhhhh, ngoja tusubiri wataalamu!!
 
Jenga tu kama umeamua, lakini kwa sasa dodoma nyumba ni nyingi sana, hivyo ili ipate mteja kirahisi ni lazima kiwanja chako kiwe location fulani fulani.

NB: Watumishi wa level fulani fulani waliohamia Dodoma 2019-2020 wameshajenga na kuhamia kwenye nyumba zao hivyo wameziachia nyumba walizozipanga.

Kitu cha kufurahisha ni kwamba bei ya nyumba itachelewa sana kushuka Dodoma.
 
Mi ushauri wangu; usijenge nyumba kubwa sana.

Jenga style kama ya Kota hivi yani Sebure vyumba viwili, jiko au Sebure Chumba masters jiko Style kama hizi.

Pia uwe mtaa mzuri wa karibu na matukio muhimu...Kiwanja chako kiko wapi?

Kwenye mchanganuo wa M15, nawaachia wataalamu waje.
 
Mi ushauri wangu; usijenge nyumba kubwa sana.

Jenga style kama ya Kota hivi...yani Sebure vyumba viwili,jiko...au Sebure Chumba masters jiko.....
Hizo ndio style za apartment ila ili iwe njema lazma ilambe 25m!

Kwa maelezo ya mtoa mada huyo yeye anataka kujenga vyumba kama mundo wa darasa labda ila hakuna apartment ya milion 15!
 
Hizo ndio style za apartment ila ili iwe njema lazma ilambe 25m!

Kwa maelezo ya mtoa mada huyo yeye anataka kujenga vyumba kama mundo wa darasa labda ila hakuna apartment ya milion 15!
Kabisa Mkuu..Nyumba dizaini ya Apartment.

Ama Chumba kimoja na sebure na choo ama Chumba Masters ni nzuri kwa wateja wa chap chap.
 
Wandugu, nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.

Serikali ipunguze bei ya cement na vifaa vya ujenzi. Wakipunguza utajenga for 15 bila shida mzehe. Azawaizi iyo 15 itakomea kwenyi msingi/jamvi ukijitaidi sana utapandisha ukuta, but co wote.
 
Sijapata kuona serikali la kipumbafu hili. Simenti inatengenezwa hapa, nondo hapa, bati hapa, misumali hapa, mbao hapa, masquare pipe n.k hapa, wanashindwa nn kupunguza!!!!!!!
 
Cjapata kuona serikali la kipumbafu hili. Simenti inatengenezwa hapa, nondo hapa, bati hapa, misumali hapa, mbao hapa, masquare pipe n.k hapa, wanashindwa nn kupunguza!
Kutenegezwa hapa sawa, vyote vinagharama hawawezi kupunguza tu.
 
Ngoja na mimi nisikilizie hapa wataalamu wanasemaje...
 
Back
Top Bottom