Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Mmhhhh, ngoja tusubiri wataalamu!!Wandugu, nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.
Hizo ndio style za apartment ila ili iwe njema lazma ilambe 25m!Mi ushauri wangu; usijenge nyumba kubwa sana.
Jenga style kama ya Kota hivi...yani Sebure vyumba viwili,jiko...au Sebure Chumba masters jiko.....
Kabisa Mkuu..Nyumba dizaini ya Apartment.Hizo ndio style za apartment ila ili iwe njema lazma ilambe 25m!
Kwa maelezo ya mtoa mada huyo yeye anataka kujenga vyumba kama mundo wa darasa labda ila hakuna apartment ya milion 15!
Wateja ndio wengi wanataka hivyo! Master moja na sebule yake ukiweka na jiko hela ya wazi kabisaKabisa Mkuu..Nyumba dizaini ya Apartment...
Ama Chumba kimoja na sebure na choo....ama Chumba Masters...ni nzuri kwa wateja wa chap chap.
Wandugu, nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali. Asante.
Kutenegezwa hapa sawa, vyote vinagharama hawawezi kupunguza tu.Cjapata kuona serikali la kipumbafu hili. Simenti inatengenezwa hapa, nondo hapa, bati hapa, misumali hapa, mbao hapa, masquare pipe n.k hapa, wanashindwa nn kupunguza!
Ni limbukeni tu ya kiingerezaHivi kwa nini wabongo huwa tunaita nyumba za chini apartments?
Tembea nchi zingine ulizia simenti, nondo, bati n.k kama zitawiana na hapa kwe2.Kutenegezwa hapa sawa, vyote vinagharama hawawezi kupunguza tu.
Ni kweli zinaweza zisiwiane na wala sitegemei nchi tofauti ziwiane.Tembea nchi zingine ulizia simenti, nondo, bati n.k kama zitawiana na hapa kwe2.
Ni kweli zinaweza zisiwiane na wala sitegemei nchi tofauti ziwiane.
Kwanini?Kitu cha kufurahisha ni kwamba bei ya nyumba itachelewa sana kushuka Dodoma.
Mkuu by "nyumba za chini" una maana ya single-storey buildings?!Hivi kwa nini wabongo huwa tunaita nyumba za chini apartments?
Mkuu by "nyumba za chini" una maana ya single-storey buildings?!