Mil.15 inatosha kujenga nyumba ya vyumba 4 Dodoma?

NB SIJAWEK HESABU YA MBAO ZA KUPAULIA NA BANDARING MISUMAR NA SIJAJUMLSH FENI
 
Good
 
Kwa hiyo chumba na sebule mil 7na nusu inajenga
 
Kwanza hongera sana sana bro,

Pili , mil 15 inatosha kufikia hatua furani na sio kumaliza.

Kwa uzoefu wetu sisi watu wa UVIMO CIVIL WORK GROUP, muungano wa wataalaam wazoefu wa ujenzi, itakupeleka hadi level ya kupaua na baki salia kiasi.

Wasiliana nasi UVIMO tukufanyie tathimini.

0753927572
0629361896
 
Bati 3.5 m yaani bati mmoja elfu 40
 
We jamaaa mafia sana mkuuu ilahawez toboa hata hapo
 
Mi nahisi bei za nyumba zitashuka ndani ya miaka 5 ijayo, kwasababu watumishi wengi wanaojenga kwa kuunga unga watakuwa wamehamia kwenye nyumba zao
 
Hapo ninakuunga mkono kwa asilimia 100.

Asante sana kwa ushauri wako mkuu

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Real Estate Consultant.

UWEKEZAJI MAJENGO BLOG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…