Mila na desturi zinazopotea kwa kasi kubwa ni kama hizi

Mila na desturi zinazopotea kwa kasi kubwa ni kama hizi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1607577208814.png

Kula katika sahani moja kulijenga upendo na uaminifu. Mtu unaekula nae sahani moja kila siku ni rahisi kumkukumbuka ukaribu wenu mmoja ajipata matatizo.

Leo hata vijijini mtaoakuliwa kila mtu kwenye sahani yake.
 
Siku hizi maradhi/Magonjwa yakuambukiza ni mengi hivyo kuna baadhi ya mila inabidi zikae pembeni tu hakuna jinsi.
 
Daaa kweli, ila kuna mwanadada mmoja home tulikua tukila... Kwenye mboga kuna kua na pilipili sasa yeye mala nyingi anakua wa mwisho kumaliza kula ubwabwa,
Then mwishoni anajisahau anaunganisha pilipili na tonge la mwisho la wali 🤣🤣
Bahati zuri mama mdogo alikua anamkubisha muda tonge tayr lipo mdomoni.😂😂😂
 
Back
Top Bottom